Isaiah 65:9-11


9 aNitawaleta wazao kutoka kwa Yakobo,
na kutoka kwa Yuda wale watakaomiliki milima yangu,
nao watu wangu wateule watairithi,
nako huko wataishi watumishi wangu.

10 bSharoni itakuwa malisho
kwa ajili ya makundi ya kondoo,
na Bonde la Akori mahali pa kupumzikia
kwa makundi ya ng’ombe,
kwa ajili ya watu wangu wanaonitafuta.


11 c“Bali kwenu ninyi mnaomwacha Bwana
na kuusahau mlima wangu mtakatifu,
ninyi mnaoandaa meza kwa ajili ya Bahati,
Bahati alikuwa mungu wa Wakaldayo ambaye pia alijulikana kama Gadi.

na kujaza mabakuli ya mvinyo uliochanganywa
kwa ajili ya Ajali,
Ajali au Meni alikuwa mungu wa majaliwa.

Copyright information for SwhKC